MREMBO ALIYEJIKITA KWENYE UFUGAJI ALIVYOPEWA MILIONI 12
0
0
18 Visualizações
04/02/22
Dentro
Filme e animação
Asma Amour Ali ambaye alikuwa anashiriki katika mashindano ya mafunzo ya ujasiriamali kwa wakulima na wafugaji kupitia Mradi wa Strong yanayosimamiwa na TAHA ameibuka mshindi na kukabidhiwa hundi ya shillingi Milioni kumi na mbili na laki tano katika mchakato wa kutafuta wakulima ambao wamesoma masomo hayo kwa kuweza kuyafanyia kazi na kuwa na mawazo yenye ubunifu wa kibiashara .
Mostre mais
0 Comentários
sort Ordenar por
